• No results found

Ushauri mzuri juu ya meno ya watoto

N/A
N/A
Protected

Academic year: 2022

Share "Ushauri mzuri juu ya meno ya watoto"

Copied!
1
0
0

Loading.... (view fulltext now)

Full text

(1)

Swahili

© Barntandvården, KI Foto: Juliana Wiklund.

Sockerklocka: Folktandvården Region Dalarna

Maji ni kinywaji bora. Waweza kutumia moja kwa moja Kutoka kwenye bomba.

Dawa ya floridi inalinda na kufanya meno yawe na nguvu.

Ushauri mzuri juu ya meno ya watoto

Fanya hii iwe tabia Karies ni nini?

Karies ni sawa na kuoza kwa meno.

Nini husababisha kuoza kwa meno?

Baadhi ya bakteria mdomoni zinaweza kubadilisha sukari katika chakula au vinyuaji iwe acidi na kuozesha meno.

Wapi kuna sukari nyingi?

• Vinyuaji tamu kama coca cola au aina ya soda

• Juisi

• Kahawa sukari na chai

• Peremende, keki na ice cream

• Asali na matunda kavu

Kula vitu vitamu siku moja kwa wiki.

Kupiga mswaki kutumia dawa mswaki ya floridi asubuhi na jioni

Mtoto alale akiwa na meno masafi

Meno yapumzike isiopungua masaa mawili kabla ya kula tena

Mtoto wako apatiwe maji akiwa na kiu

Ni vyema kupumzisha meno isipungue masaa 2 mawili

Sukari mara nyingi = hatari kubwa kuoza meno Sukari mara

chache = hatari chache

kuoza meno Saidia mtoto

wako kupiga meno mswaki asubuhi na jioni na dawa ya mswaki iliyo na floridi.

References

Related documents

• .…navet i Marks kommun och en viktig del i en attraktiv centralort, vars betydelse som lokalt centrum gynnar hela kommunen.. för alla markbor och en plats som

Prehledne a srozumitelne je popsan technologicky postup vyroby hnaneho hfidele i samotne vyrobni stfedisko, ktere je predmetem reseni experimentaIni casti predkladane diplomove

Delar av partistödet som överförts till andra delar av partiorganisationen (Vilka motprestationer har erhållits för att stärka partiets ställning i den kommunala

A lo largo de este capítulo hemos señalado algunas tendencias de nuestro corpus de cuento apocalíptico que lo distingue de lo que la crítica ha escrito sobre la

The results of the study suggest that the contemporary apocalyptic short story in Mexico can be defined by private, individual dramas in the midst of apocalyptic times, giving

Kielelezo 42. Katika maeneo ya Engaruka jumla ya mahojiano 39 yalifanyika. Kati ya mahojiano hayo, watu 20 walikuwa anaume na 19 walikuwa ni wanawake, na

Tímto mezinárodní společenstvím se stala Organizace spojených národů (OSN), která měla za úkol sdružovat demokratické státy v systému kolektivní bezpečnosti a

Men även om en och annan felaktighet insmyger sig någon gang, far man nog ge Carl Laurin rätt, som en gång när detta tjat på tidningarna åter var framme yttrade: ”Den, som