BAHO UM W AKA...
N’helo dza Chividunda Methali za Kividunda Karsten Legère na Peter S. Mkwan’hemboKarsten Legère ni Profesa mstaafu wa Lugha za Kiafrika, Chuo Kikuu cha Gothenburg (Uswidi). Peter S. Mkwan’hembo ni mtafiti wa lugha ya Kividunda anayeishi Vidunda (Wilaya ya Kilosa). Kitabu hiki kinawaletea wasomaji wake methali za Wavidunda katika lugha ya Kividun
da kwa Kiswahili, zikifuatiwa na mkusanyiko huu katika Kiswahili kwa Kividunda. Hizi methali zilikusanywa miongoni mwa Wavidunda katika vijiji vya Vidunda, Chon’hwe na Udung’hu (kusini mwa Wilaya ya Kilosa) miaka iliyopita na kuhaririwa kwa Kividunda na visawe vyake kwa Kiswahili. Kwa kufanya hivi wahariri wanaamini kuwa urithi huu wa Wavidunda wa zamani na wa kisasa uendelee kujulikana kwa vizazi vijavyo. Wanaoalikwa kuzisoma methali hizi si wazungumzaji wa Kividunda tu, bali, kwa kupitia lugha ya Kiswahili, hata Watanzania na wananchi wengine wa Afrika Mashariki. Kimepigwa chapa na TUKI Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
ISBN: 978-9976-5316-5-7
7 Hekima ya Wavidunda
Fasihi Simulizi - Methali
Luhala lwa Wavidunda
Luhala lwa Wavidunda N’helo dza Chividunda Methali za Kividunda
8 Karsten Legère na Peter S. Mkwan’hembo
ACALAN